Tuesday, March 1, 2016

MISUKO YA NYWELE

NATURAL HAIR


fashion Tanzania LEO tunafurahi kushare nanyi misuko tofauti ya nywele , wasusi wenyewe wanakwambia ukiwa na nywele zisizo kipilipili na dawa ni nzuri zaidi wakati wa kuzisuka hazitelezi mkononi na pia na rahisi kuzifinyanga tofauti na nywele zenye dawa ambazo wanashauri hata ukiwa umeweka dawa zipe muda atlist ya mwezi ili zianze kuota ota na zishikike kwa urahisi
japokuwa wasukwaji wakishasukwa hudau dawa yenye nywele inakaa vizuri sababu kunakuwa hakuna vinywele kama si vinyoleo vilivyosimama na hivyo huwa nadhifu mnooo
haya misuko ndo iyo we ungepengelea upi, je wewe ni msusi  unapenda suka nywele aina ipi zenye dawa au kipilipili
misuko
 misuko bride style
huu ni bridal style, utampendeza bi harusi ambaye atapenda suka siku ya harusi yake hata tiara inakaa sawa sawia
Misuko ya nywele za mkono
hizi nywele alisukaga Alicia Keys ikawa ndo style ya jiji ….
misuko alicia keys
misuko yebo yebo mix
naomba niite yebo yebo mix maana kuna kubwa na ndogo
misuko yebo yebo za mwenge
hii naomba niibatiye yebo yebo ya mwenge , wengi unaokutana nao wamesuka hii ukimuuliza umesuka wapi wanakwambia Mwenge
misuko yeboyebo nene
mbijuo hii nywele ukiisuka lazima uwe na nywele ndefu kama sio zilizojaa au laa ndo ujazilize na rasta kama hivi

No comments:

Post a Comment